…ATTENTION: Home Owners!…
HATIMAYE! Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuokoa Hadi 83% ya Gharama Za Kufunga Taa Zisizo Endana na Muundo wa Nyumba Yako FREE Kabisa!
Mpendwa Mmiliki wa Nyumba,
Kama unataka kufunga Taa Zinazoendana na Muundo wa nyumba yako…
…basi huu ndio utakuwa ujumbe muhimu zaidi utakaosoma leo!
Na:
Hii ndio Sababu:
…Utafiti uliofanywa na International Association of Certified Home Inspectors (InterNACHI) unaonesha kwamba:
“Kutokupata Ushauri wa Kitaalamu kuhusu Mfumo wa Taa unapelekea 51% ya wamiliki wa nyumba Kubadilisha Taa zao Baada ya Kugundua kwamba— Taa walizowekewa Haziendani na Muundo wa nyumba zao…na hiyo husababisha ongezeko la 83% ya Gharama za kufunga Taa Mpya”
Ndio maana:
Kaliman Electric—tumekuletea huduma hii ya Kitaalamu unayoenda kuiona ndani ya sekunde 60 zijazo…
Itakayo Kusaidia kuokoa Muda na Pesa zako za…
…kununua Taa zisizo endana na Muundo wa nyumba yako!
Na:
Huduma hii ni Maalumu kwa ajili yako kama wewe ni…
“Mmiliki wa Nyumba, Apartments, Hotels & Majengo”
Labda unaweza ukawa unajiuliza…
Je Kaliman Electric ni kina Nani—na Kwanini unatakiwa kutuamini?...
Basi nitakwambia hapa chini:
Kaliman Electric—ni Kampuni ya Kitanzania inayowasaidia Wamiliki wa nyumba & Majengo kupata ushauri wa kitaalamu kuhusu Mifumo ya Taa na Vifaa vya umeme!
Ofisi zetu zipo Msasani—(Kimweri Avenue)
“Mpaka sasa tayari Tumeshawasaidia Wamiliki wa nyumba & Majengo kama wewe zaidi ya 315+ Kupata ushauri wa kitaalamu kuhusu Mifumo ya Taa pamoja na Vifaa vya umeme”
Je Kwanini Unahitaji Kupata Ushauri wa Kitaalamu Kwanza Kabla ya Kufunga Mfumo wa Taa?
Hii hapa chini ndio sababu…
“Ili Kuepuka Kufanya Kosa la Wengi la Kuchagua na Kufunga Taa kwa Kuangalia Uzuri wa Taa Zenyewe—Badala ya Kuanza na Muundo wa Jengo na Matumizi ya Kila Eneo”
…Hii ni kwa mujibu wa CIBSE (Chartered Institution of Building Services Engineers)—Taasisi ya Kitaalamu ya Uingereza inayotoa Miongozo ya Taa, Usanifu na uhandisi wa majengo!
Na:
…leo kwa mara ya kwanza tunaitambulisha kwako huduma yetu Mpya inayoitwa:
“Kaliman Site Visit & Professional Lighting Consultations”
“Kaliman Site Visit & Professional Lighting Consultations ni nini?”
Hii ni huduma inayohusisha Timu ya Wataalamu kutoka Kaliman kutembelea project yako, Kuifanyia Tathimini (assessment)…
…Pamoja na Kukushauri kuhusu mfumo wa Taa, Specifications Zake na Idadi ya Taa unazohitaji kulingana na mahitaji ya project yako!
Baada ya hapo…
Tutakushauri kuhusu Taa za kuweka pamoja na Gharama zake kulingana na Scope ya Project yako!
Na:
…Hizi ni Nusu tu ya Faida utakazopata kama utafanya Booking ya Kutembelewa Site na Wataalamu wetu:
- Utaepuka Gharama za ziada zinazotokana na kununua Taa zingine baada ya kuweka taa zisizo endana na muundo wa nyumba yako
- Utapata mwanga sahihi wa kila eneo kulingana na muundo wa nyumba yako—(Sebuleni, vyumbani, koridoni, Mapokezi, restaurant, parking na maeneo ya kazi)
- Utaongeza Thamani ya nyumba yako X 10 kwa kuweka Taa zenye Experience ya kipekee na Kitajiri
…Pamoja na Faida zingine nyingi za Kitaalamu!
Je Huduma Hii Inagharimu Kiasi Gani?
Ukweli ni kwamba;
Tulipanga Ku-Charge Tshs 150,000 kwa ajili ya Site Visit pamoja na Professional Lighting Consultations…
LAKINI:
Baada ya Majadiliano ya kina na Team tumeamua kwamba:
Gharama zote hizo zitabebwa na Kampuni…
Kwahiyo:
Hautalipia tena Tshs 150,000…
Wala 100,000
Badala yake:
…Leo Utachaingia Kiasi Kidogo Cha:
“Tshs 30,000 Tu”
(150,000)
…Kama Gharama ya KUWASAFIRISHA Wataalamu Kutoka Ofisini kwenda kutembelea Site yako!
Maana yake:
…Unalipia USAFIRI Tu—Huduma Zingine zote unapata BURE Kabisa!
Na:
Hiki ndicho kitakachotokea baada ya Ku-Bofya hiyo BUTTON ya Blue Hapo juu!
“Jaza fomu hii, utatumiwa Quotation ya Tshs 30,000 kwa WhatsApp papo hapo, kisha tutakupigia kupanga Siku na Muda wa kutembelea Site yako.”
Na:
Ili kukuonesha kwamba—tunajiamini na huduma zetu pamoja na uzoefu wa wataalamu wetu
…Basi Tunakupa Hii GUARANTEE Hapa Chini:
“Ikitokea hujaridhishwa na huduma yoyote kutoka kwa Wataalamu wetu watakaokuja kutembelea Site kwako—basi tutakurudishia Pesa yako bila kukuuliza swali lolote pamoja na kukupa Tshs 100,000 ya Usumbufu ili kufidia muda wako—(Kwahiyo hakuna RISK yoyote upande wako)”
TAHADHARI!
“Nafasi za Kutembelewa Site pamoja na Kupata FREE Professional Lighting Consultations ni 50 Tu—Baada ya Hapo Gharama inarudi kuwa Tshs 150,000 kama ilivyokuwa mwanzo”
Kwahiyo…
Wahi:
PS:Inavyoonekana mpaka sasa una Chaguo Mbili Tu
Aidha ukubali kufanya Kosa la Wengi la Kuchagua na Kufunga Taa kwa Kuangalia Uzuri wa Taa Zenyewe Badala ya Muundo wa Jengo na Matumizi ya Kila Eneo—Au ufanye Booking Sasahivi ili upate FREE Professional Lighting Consultations kutoka kwa Wataalamu wetu na Uokoe Gharama za kufunga Taa mara Mbili!
…Maamuzi yapo Mikononi mwako!
Jaza fomu ili kuomba Site Visit Consultation
Jaza taarifa hizi. Timu ya Kaliman Electric itawasiliana nawe kuhusu hatua zinazofuata.
Asante. Tumepokea maombi yako. Timu ya Kaliman Electric itawasiliana nawe hivi karibuni.
Kaliman Electric · Msasani (Kimweri Avenue) · Sera ya faragha
Tuna Imani tutakuwa wote Site
Kaliman Electric
Ulimwengu wa Vitu vya FUTURE!